• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo, Kanuni na Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ujenzi wa mradi wa Maji Sawala - Halmashauri ya Mufindi, kutumia bilioni 1.8

Posted on: December 30th, 2017

Ujenzi na ukarabati wa Kituo cha Afya Malangali – Halmashauri ya Mufindi kutumia bilioni 1.8


Waziri wa Maji na umwagiliaji Mh. Mhandisi Isack Kamwelwe, amewahakikishia wananchi wa kata ya Mtwango halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuwa, mradi mkubwa wa Maji wa Sawala wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja, utaanza kujengwa mapema mwezi januari mwakani mara baada ya kukamilika kwa taratibu za kutiliana saini na mkandarasi mteule.

Waziri huyo mwenye dhamana ya Maji nchini, ametanabaisha hilo wakati wa ziara yake ya kikazi Wilayani Mufindi, iliyokuwa na lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya Maji inayotekelezwa Wilayani humo.

                                          

Waziri Kamwelwe, amesema baada ya Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya kukamilisha taratibu zote za manunuzi na kumpata Mkandarasi atakaye tekeleza mradi huo, Ofisi yake inakamilisha uhakiki wa mkataba na ifikapo mwezi wa kwanza mwaka 2018, itatoa kibali kwa Ofisi ya Mkurugenzi  ili aendelee na hatua ya mwisho ya kusaini kandarasi hiyo yenye jumla ya shilingi bilioni (1.8).

Mradi wa Maji wa Sawala unatarajiwa kujengwa na kukamilika  kwa muda wa  kipindi cha miezi (12) huku wakazi wa Vijiji vinne vya Mtwango, Kibao, Sawala na Lufuna ndio watakao nufaika na mradi huu, ikiwa ni utekelezaji wa shabaha ya Serikali inayokusudia kutatua kero ya Maji kwa asiliamia (85) kwa wakazi wa Vjijini ifikapo mwaka 2020.

 

Tangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Mufindi April 13, 2018
  • Tangazo la kuwasilisha kero kilasiku ya Jumatatu February 05, 2018
  • Tunakodisha Ukumbi wa Halmashauri Uliopo Mafinga April 17, 2017
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mufindi Yakabidhi Vitambulisho 4,500 Vya Matibabu Kwa Wazee

    April 18, 2018
  • Tovuti ya Mufindi ni Miongoni Mwa Tovuti 09 za Halmashauri Zinazofanya Vizuri Nchini

    March 21, 2018
  • Madiwani Mufindi Wapitisha Bajeti Kwa Mwaka 2018/2019 asilimia 60 imeelekezwa kwenye Maendeleo

    February 26, 2018
  • Mgololo Sekondari Kunufaika na Ufadhili wa Ujenzi wa Maabara kutoka MPM

    February 15, 2018
  • Angalia Zote

Video

Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Mary Mwanjelwa, alipotembelea kiwanda cha Chai MTC Itona
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.